Hadithi ya Urafiki wa Panya na Paka |Hadithi za Kiswahili |Swahili fairy tales 🧚‍♀️ |

Hadithi ya Urafiki wa Panya na Paka |Hadithi za Kiswahili |Swahili fairy tales 🧚‍♀️ |

#hadithi #hadithizakusisimua #swahilifairytales hapo zamani za kale panya na paka walikuwa marafiki wakubwa sana urafiki wao uliendelea kwa muda, sasa siku moja walipewa mwaliko wa kwenda kwa rafiki yao jongoo kwenda kumtembelea, wakakubariana waende na chakula cha kulia njianai make palikuwa ni mbali sana walipokuwa wanaelekea waliandaa chakula chao, ambacho kirikuwa ni mihogo ya kuchemsha na nyama Like 👍 share comment &SUBSCRIBE to my YouTube channel for more videos 📹 Thanks 😊 🙏 usisahau kunifatilia kwenye mitandao ya kijamii Facebook   / johaness-john-106317841948656     / johaness.john.792   blog. Johanessjohn.blogspot.com